Economic Calendar Part 2 | Actual, Forecast & Previous Explained [tYW2DYeKoqb]

Karibu kwenye Calendar Fundamental Part 2. Katika somo hili tunaendelea kujifunza jinsi ya kutumia Economic Calendar kufanya maamuzi bora katika Forex Trading. Utajifunza: ✅ Maana ya Actual, Forecast na Previous ✅ Jinsi ya kulinganisha data za kiuchumi ✅ Namna matokeo ya habari yanavyoathiri bei za currency pairs ✅ Habari muhimu zenye athari kubwa (High Impact News) ✅ CPI (Consumer Price Index) ✅ NFP (Non-Farm Payrolls) ✅ Interest Rate Decisions ✅ FOMC Meetings ✅ GDP (Gross Domestic Product) ✅ Unemployment Rate ✅ Retail Sales ✅ PMI (Purchasing Managers' Index) ✅ PPI (Producer Price Index) ✅ Jinsi ya kujiandaa kabla na baada ya kutolewa kwa habari za uchumi Baada ya video hii utaelewa jinsi ya kutafsiri taarifa za kiuchumi na kutumia Economic Calendar kwa ufanisi kama sehemu ya Fundamental Analysis katika Forex Trading. 🔔 Usisahau: 👍 Like video 💬 Toa maoni yako kwenye comments 📤 Share na marafiki zako 🔔 Subscribe kwa COACH WAMI kwa mafunzo kuhusu: • Forex Trading • Fundamental Analysis • Technical Analysis • Cryptocurrency • Investment • Financial Education ⚠️ Kanusho (Disclaimer): Video hii ni kwa madhumuni ya elimu pekee. Haipaswi kuchukuliwa kama ushauri wa kifedha au uwekezaji. Daima fanya uchambuzi wako mwenyewe na tumia Risk Management kabla ya kufanya biashara kwenye masoko ya fedha. #EconomicCalendar #FundamentalAnalysis #ForexTrading #Forex #NewsTrading #CPI #NFP #FOMC #InterestRates #ForexKwaKiswahili #WamiMedia