STEP UP DAY CARE CENTER/BABE CLASS WALIVYO NA ARI KWA MADAM WAO/WANAMPENDA HUYU MWALIMU/.... [oCPOb5oRkV5]
Team ya Tanzania kids time kwa nyakat bora kabisa imefika katika Kituo cha kulelea watoto mchana @stepupdaycare il kujionea malez wanayopata watoto, na kukuandalia kipindi, ambapo tumeanza na darasa la watoto wadogo wa kwanzia miaka miwili (babe class). karibu utazame mtangazaji ni @JohnKabambala mpga picha ni @HamadRashid #subsribe #comment #share #like #stepupdaycare #babeclass #tanzaniakidstime